UNHCR Tanzania
1641 - 1650 of 1823 posts
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
“Mimi ni mkimbizi wa Ki-Congo na nafanya kazi nje ya kambi, nilifuata sheria Namba 9 ya 1998 ambayo inaongelea mkimbizi yeyote ambaye ana fani yoyote anaweza kufanya kazi na nilienda Idara ya Wakimbizi Wizara ya Mambo ya Ndani nikapewa kibali Naishukuru Serikali ya Tanzania https://t.co/0Xhrf4arsl
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
"Mkimbizi ni mtu yeyote yule aliyeshindwa kuishi sehemu yake kutokana na sababu fulani, sheria za kimataifa zinaruhusu mtu mwenye changamoto zozote za kiusalama kuomba ukimbizi" -: George Kuchio, Makamu Mratibu Mkazi @Refugees #WorldRefugeeDay @kanyandulajose https://t.co/H6cgEEeV9G
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
RT @ZMilisic: It's very important to recognise communities & countries that are hosting refugees. @UnitedNationsTZ thanks the Government…
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
There are over 280,000 refugees living in #Tanzania. @Refugees and partners, rely almost entirely on contributions from governments, UN, intergovernmental institutions & the private sector to support refugees. On #WorldRefugeeDay we say Asante Sana! @kanyandulajose https://t.co/gDZVCwoXVh
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
RT @Refugees: We mark this year’s #WorldRefugeeDay while dramatic global crisis still unfolds. We call for greater global solidarity and a…
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
RT @CloudsMediaLive: "Mkimbizi ni mtu yeyote yule aliyeshindwa kuishi sehemu yake kutokana na sababu fulani, sheria za kimataifa zinaruhusu…
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
Ndoa inaweza kumfanya mtu akawa mkimbizi. Kuna mambo yakitokea kwenye ndoa mfano unyanyasaji wa wanawake kwenye jamii hasa jamii zenye mila potofu kama ukeketaji unaweza kumpelekea mwanamke akawa mkimbizi. George Kuchio UNHCR #WorldRefugeeDay https://t.co/fwSrLWSml6
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
RT @CloudsMediaLive: "Tanzania inahifadhi zaidi ya wakimbizi 290,000 ambao wanatoka katika nchi mbalimbali Duniani lakini zaidi kutoka nchi…
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
"Tanzania ilitunukiwa tuzo ya Nanseen mwaka 1983 ambayo ni tuzo kubwa na muhimu ya UNHCR na inakuwa miongoni kwa nchi 9 za Afrika zilizowahi kupewa hii tuzo" Prof Khoti Kamanga #WorldRefugeeDay @kanyandulajose @UnitedNationsTZ https://t.co/ABDGCpeObQ
Show info
UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania - 20/06/2020
“Ni kitu cha kujivunia kwamba Tanzania ina historia ndefu sana ya kutukuka katika kupokea wakimbizi, wakimbizi wa kwanza wamekuja Tanzania baada ya vita vya pili vya dunia toka Poland wakapelekwa Tengeru” - Prof Khoti Kamanga #WorldRefugeeDay | @UnitedNationsTZ @kanyandulajose https://t.co/jLh9qcWm4a
Show info