UNHCR KENYA
@UNHCR_Kenya
TANGAZO: Uthibitishaji wa wakimbizi na wanaotafuta hifadhi wanaoishi Nairobi Kutokana na #COVID19, Serikali ya Kenya kupitia RAS, na UNHCR wanafanya uthibitishaji wa wakimbizi na wanaotafuta hifadhi wanaoishi Nairobi kwa simu ya video/ sauti. Tazama bango kwa maelezo zaidi. https://t.co/ZZrsaO4cZJ
Metadata
Published to Twitter on: 23/09/2020
Archived on: 14/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCR_Kenya/status/1308770111260626945