UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Takribani vifo millioni 1.5 vinavyohusishwa na kisukari hutokea kila mwaka. Kupitia mradi wa @WorldDiabetesF, jamii ya wakimbizi na wazawa mkoani Kigoma wahamasishwa kujua dalili na kupata vipimo kwa wakati. https://t.co/XQehfK5w0e
Metadata
Published to Twitter on: 24/11/2022
Archived on: 07/12/2022
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1595698994356822022