UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Ili kufikia malengo ya Ajenda Endelevu ya 2030 hatuna budi kufanya yale aliyoshauri baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kuwa “Kama maendeleo ya kweli hayana budi kutokea, basi ni lazima watu washirikishwe” @ZMilisic https://t.co/gtksicDJVw
Metadata
Published to Twitter on: 17/05/2022
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1526591746402140160