UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
“Nchi yetu imekuwa ikipokea na kuhifadhi #wakimbizi hata kabla ya uhuru, hata hivyo historia ndefu na yenye thamani inaanza na Rais wa Awamu ya Kwanza na Baba wa Taifa la #Tanzania Mwalimu J.K. Nyerere” - George Simbachawene, Waziri @WizaraMNN @dignity_kwanza @Refugees https://t.co/GkYoUHfFih
Metadata
Published to Twitter on: 22/10/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1319145292042784768