UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Leo ni kumbukumbu ya siku ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alifariki. #UNHCR inaungana na Watanzania katika kumkumbuka Kiongozi huyu kwa juhudi zake za kuleta ukombozi barani Afrika #NyerereDay https://t.co/htgTivydWp
Metadata
Published to Twitter on: 14/10/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1316341533587787776