UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
“Amani tuliyonayo inatuwezesha kila asubuhi kuamka na kwenda kwenye shughuli zetu bila bugudha na jioni tunarudi kulala bila hofu yeyote. ... sisi tunaofanya kazi ya kupokea na kuhifadhi #wakimbizi tunashuhudia mengi ikiwemo ndoto zinazopotea” - George Simbachawene @WizaraMNN https://t.co/uVjfYrCOoS
Metadata
Published to Twitter on: 23/09/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1308757579682717696