UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Tanzania ina uzoefu mkubwa wa kuhifadhi wakimbizi na kutoa suluhisho la kudumu kwa wakimbizi wanaohifadhiwa nchini. Nchi yetu imekuwa kinara kwa masuluhisho yote matatu ya kudumu ya kuwarejesha katika nchi zao za asili kwa hiari, kuwahamishia katika nchi ya tatu + kuwapa uraia https://t.co/fP2SltAIJo
Metadata
Published to Twitter on: 23/09/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1308755556807716865