UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
“Nchi yetu imekuwa ikipokea waomba hifadhi na kuhifadhi #wakimbizi hata kabla ya uhuru, hata hivyo historia kubwa, ndefu na yenye thamani inaanza na Rais wa Awamu ya Kwanza na Baba wa Taifa la #Tanzania Hayati Mwalimu J.K. Nyerere” - George Simbachawene, Waziri @WizaraMNN https://t.co/H9FDkhfHse
Metadata
Published to Twitter on: 23/09/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1308751748367036417