UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Tunatambua mchango mkubwa wa muasisi wa taifa letu Mwalimu Julius Nyerere ambaye mwaka 1983 alipata tuzo ya ‘#NansenAward’ kutokana na mchango wake kwa #wakimbizi na kuwa miongoni mwa viongozi watatu pekee kutoka Afrika kuwahi kupokea tuzo hiyo ya heshima. - @JRuhundwa https://t.co/OBFPG3a552
Metadata
Published to Twitter on: 23/09/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1308723372885508097