UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
“ Kwa Tanzania tulichopewa ni amani, miongoni mwa neema nyingine nyingi. Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania imekuwa kumbilio la wale wote ambao hawakubahatika kuwa na amani katika nchi zao kwa sababu tofauti tofauti, ikiwemo harakati za ukombozi na machafuko” - Janemarry Ruhundwa https://t.co/kJRrlCHCt3
Metadata
Published to Twitter on: 23/09/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1308721801544040449