UNHCR Tanzania
@UNHCRTanzania
Tumepokea taarifa ya kusambaa kwa uvumi kwamba mfanyakazi wa UNHCR amepata maambukizi ya ugonjwa wa #corona. Taarifa hii sio ya kweli na inachangia upotoshaji. Ili kupata taarifa sahihi kuhusu ugonjwa na wagonjwa tafadhali wasiliana na Msemaji Mkuu wa @wizara_afyatz https://t.co/9u1HlwV3pI
Metadata
Published to Twitter on: 17/03/2020
Archived on: 13/02/2023
Original URL (may no longer be available): https://twitter.com/UNHCRTanzania/status/1239891317733445632